Condition: New,UPC: 9789966479754,Publication Date: Fri, July 1, 2022,Type: Paperback ,
description
5
Mzee Bakari ni mvuvi hodari. Anakumbana na samaki wa ajabu katika Ziwa Viktoria. Mvuvi huyu atamvua samaki huyo wa ajabu? Atamfanya kitoweo? Soma hadithi hii ya Twende Safari Ziwani ili upate uhondo